Ni kuhusu maisha ya kila binadam na harakati zake katika maisha,kwa yeyote yule ana husika na ushirikishaji kwenye upande wa nyanja zote iwe kimawazo ni vipi uwe kama kama mtu mwenye hadhi ya kipekee ndani ya maisha na bila kusahau burudani ndani ya harakati za maisha.
Friday, August 5, 2011
TUSKER PROJECT FAME KUKARIBIA KUTIKISA JIJINI NAIROBI KWA FAINALI
Ni shindano la kumsaka staa bora wa muziki East Africa linalofahamika kama Tusker project fame kuelekea kwenye michuano ya fainali na huku likiongozwa na kampuni ya bia la tusker washiriki waki nadi nafasi zao na kuomba kura tukiwa kama watanzania ni vyema kuwapa nafasi washiriki wetu HEMED SULEIMAN na PETER MSECHU ili kuwania ushindi huo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment