Sunday, September 11, 2011

MELI KUUA MAMIA ZANZIBAR

Ni meli aina ya MV FERRY,iliyo kuwa kuwa ikitoka bandari ya unguja kuelekea pemba kupata ajali na kupinduka kwenye mkondo wa nungwi majira ya saa8 za usiku hapo jana ,meli hiyo iliondoka ikiwa imesheheni takriban abiria 610 ambao wengi wao walikuwa wakitoka kwenye likizo ya mwezi mtukufu wa ramadhan na mpaka sasa shughuli za uokoaji bado zikiendelea ikiwa na kupatika na miili ya watu takribani 100,jeshi bado lipo kwente harakati za kutafuta miili ya watu wengine na uokoji,mungu azilaze roho za marehemu  mahali pema peponi amin,

No comments:

Post a Comment