Ni kuhusu maisha ya kila binadam na harakati zake katika maisha,kwa yeyote yule ana husika na ushirikishaji kwenye upande wa nyanja zote iwe kimawazo ni vipi uwe kama kama mtu mwenye hadhi ya kipekee ndani ya maisha na bila kusahau burudani ndani ya harakati za maisha.
Thursday, May 19, 2011
LADY JAY DEE(BINTI MACHOZI)
Wakati muziki wa kizazi kipya yaani bongo fleva ikiwa inazidi kupanda chati na wakayi huohuo wana mziki wenye nyadhifa zao toka awali hawapo nyuma katika kufanya shughuli zao za kisanii kwa kutoa nyimbo mpya na kuwainua washabiki tena,Mwanadada lady jaydee hivi karibuni ameachia kibao chake kipya kwe station mbalimbali ikiwa inapata air time ya kutosha pia hakuachilia mbali ametoa na video chini ya adam juma ndani ya kampuni ya visual lab akiwa amemshirikisha Mr blue a.k.a kabayser,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment