Monday, September 12, 2011

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KUJUMUIKA KWA PAMOJA NA WANANCHI KWENYE SALA YA MAITI WALIO FARIKI KWENYE AJALI YA MELI ZANZIBAR


Ni  sala  ya pamoja ya kuwasalia walio patwa na umauti katika ajali ya meli iliyo tokea mwishoni mwa wiki iliyopita tar 10sep2011 zanzibar meli aina ya mv spice islander,

Sunday, September 11, 2011

MASHINDANO YA KUMSAKA MREMBO WA TANZANIA MISS VODACOM KUENDELEA JANA USIKU

Ni shndano la kumsaka mrembo wa Tanzania miss vodacom 2011,na kumpata mshindi wa kinyang'anyiro hcho ambaye anaitwa  Salha Ezlael  ambae aliyekuwa mrembo wa ilala 2011

MELI KUUA MAMIA ZANZIBAR

Ni meli aina ya MV FERRY,iliyo kuwa kuwa ikitoka bandari ya unguja kuelekea pemba kupata ajali na kupinduka kwenye mkondo wa nungwi majira ya saa8 za usiku hapo jana ,meli hiyo iliondoka ikiwa imesheheni takriban abiria 610 ambao wengi wao walikuwa wakitoka kwenye likizo ya mwezi mtukufu wa ramadhan na mpaka sasa shughuli za uokoaji bado zikiendelea ikiwa na kupatika na miili ya watu takribani 100,jeshi bado lipo kwente harakati za kutafuta miili ya watu wengine na uokoji,mungu azilaze roho za marehemu  mahali pema peponi amin,