Ni dully sykes a.k.a brothermen akiwa ameachia ngoma yenye kuwafanya watu waruke na kuzidi ipenda bongo fleva ngoma inajulikana kama"BONGO FLEVA"akiwa amefanya video pia chini ya uongozi wa adam juma (visual lab)kwa usimsmizi mkubwa na kufanya video kushine.
No comments:
Post a Comment