Friday, May 20, 2011

SHEIKH YAHYA HUSSEIN AFARIKI DUNIA



Ni msiba mkubwa kwa watanzania wote kwa kufiwa  na mnajim mkuu wa  afrika  mashariki sheigh yahya  hussein leo majira  ya saa nne asubuhi akiwa anasumbuliwa na maradhi  ya muda mrefu ya moyo,msiba utafanyika hapo kesho nyumbani alipo kuwa akiishi marehehemu  magomeni mwembe chai,sote tuwajibike kwa hilo  na bila ya kusahau kuwa safari ni yetu sote mungu aiweke roho  ya  marehemu pahali pema peponi amin.

No comments:

Post a Comment