Thursday, August 11, 2011

JE?UNAWEZAJE JIVUNIA UBUNIFU WAKO KWENYE BIASHARA NA KUWAFANYA WATU WAVUTIWE NAPO?


Hakuna  mfano mzuri wa ubunifu mmojawapo  kama  huu,ni mjasilia mali aliye tumia  ubunifu mbalimbali na kuona ni bora kujaribu c pengine bali ni(SAMAKI SAMAKI)iliyopo jijini  dar es salaam ndani ya jengo la mlimani city.

Saturday, August 6, 2011

MOYO WANGU, VIDEO INAYO PATA CHATI YA JUU BONGO HIVI SASA


Ni msanii wa miondoko ya kizazi kipya anae fahamiaka kama  NASEEB(DIAMOND)anae tikisa kwa kasi sasa kwenye soko hilo  sasa   akiwa ameamua kutungua video ya kibao chake kipya kinacho julikana  kama MOYO WANGU,kikiwa kinafanya vizuri kwa sasa kwenye top 10 za radio na video hvi sasa,

maisha na harakati: UNAELEWA NINI KUHUSU FREEMASON?

maisha na harakati: UNAELEWA NINI KUHUSU FREEMASON?: "www.masonicinfo.com"

Friday, August 5, 2011

WAPENZI WENYE GUMZO LA UMAARUFU BONGO

TUSKER PROJECT FAME KUKARIBIA KUTIKISA JIJINI NAIROBI KWA FAINALI



Ni shindano la kumsaka  staa bora  wa muziki  East Africa  linalofahamika kama Tusker project fame kuelekea kwenye  michuano ya fainali na huku likiongozwa na kampuni ya bia la tusker washiriki waki nadi nafasi zao na kuomba kura tukiwa kama watanzania ni vyema kuwapa nafasi  washiriki wetu HEMED  SULEIMAN   na   PETER MSECHU ili kuwania ushindi huo

Thursday, August 4, 2011

MTV AWARD 2011,PATA HABARI






BREAKING! News VMA category added! Will Eminem and Rihanna, Katy Perry, Lady Gaga, Pink, Rise Against, or Taylor Swift win 'Best Video,kuwemo kwenye  shindano la MTV  award  nchini marekani litakalo fanyika   jumapili  agst 28,

MREMBO WAKITANZANIA ANAE FANYA KAZI ZAKE MJINI NEW YORK NCHINI MAREKANI





Ni mwanadada   flaviana  matata mrembo anae tikisa kwenye fani hii kutoka tanzania nchini marekani

UNAELEWA NINI KUHUSU FREEMASON?

www.masonicinfo.com