Saturday, August 6, 2011

MOYO WANGU, VIDEO INAYO PATA CHATI YA JUU BONGO HIVI SASA


Ni msanii wa miondoko ya kizazi kipya anae fahamiaka kama  NASEEB(DIAMOND)anae tikisa kwa kasi sasa kwenye soko hilo  sasa   akiwa ameamua kutungua video ya kibao chake kipya kinacho julikana  kama MOYO WANGU,kikiwa kinafanya vizuri kwa sasa kwenye top 10 za radio na video hvi sasa,

No comments:

Post a Comment