Thursday, August 11, 2011

JE?UNAWEZAJE JIVUNIA UBUNIFU WAKO KWENYE BIASHARA NA KUWAFANYA WATU WAVUTIWE NAPO?


Hakuna  mfano mzuri wa ubunifu mmojawapo  kama  huu,ni mjasilia mali aliye tumia  ubunifu mbalimbali na kuona ni bora kujaribu c pengine bali ni(SAMAKI SAMAKI)iliyopo jijini  dar es salaam ndani ya jengo la mlimani city.

No comments:

Post a Comment