Ni kuhusu maisha ya kila binadam na harakati zake katika maisha,kwa yeyote yule ana husika na ushirikishaji kwenye upande wa nyanja zote iwe kimawazo ni vipi uwe kama kama mtu mwenye hadhi ya kipekee ndani ya maisha na bila kusahau burudani ndani ya harakati za maisha.
Thursday, May 19, 2011
SHAAA!!
Mwanadada sarah kaisi au kwa jina la usanii unaweza muita"SHAA"aliye tokea kwenye kundi la wakilisha lililo tokea kwenye shindano la cocacola popstars wakiwemo langa,witness,na akiwemo shaa mwenyewe,Mwanadada huyu ambaye ni miongoni kati ya wanamziki wa kike walio kwenye nafasi ya juu kutokana na kazi zake,hivi karibuni ameachia kazi yake ya CRAZY video chini ya uongozi wa adam juma(visual lab),Bonge ya kioo raia.
Labels:
SARAH KAISI(SHAA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment