Friday, May 20, 2011

SHEIKH YAHYA HUSSEIN AFARIKI DUNIA



Ni msiba mkubwa kwa watanzania wote kwa kufiwa  na mnajim mkuu wa  afrika  mashariki sheigh yahya  hussein leo majira  ya saa nne asubuhi akiwa anasumbuliwa na maradhi  ya muda mrefu ya moyo,msiba utafanyika hapo kesho nyumbani alipo kuwa akiishi marehehemu  magomeni mwembe chai,sote tuwajibike kwa hilo  na bila ya kusahau kuwa safari ni yetu sote mungu aiweke roho  ya  marehemu pahali pema peponi amin.

Thursday, May 19, 2011

DULLY SYKES A.K.A BROTHERMEN



Ni  dully sykes a.k.a brothermen  akiwa ameachia ngoma yenye kuwafanya watu  waruke  na kuzidi ipenda bongo fleva ngoma inajulikana kama"BONGO FLEVA"akiwa amefanya video pia chini ya uongozi wa  adam juma (visual lab)kwa usimsmizi mkubwa na kufanya video kushine.

LADY JAY DEE(BINTI MACHOZI)





Wakati  muziki wa kizazi  kipya  yaani  bongo fleva ikiwa inazidi kupanda chati na wakayi huohuo wana mziki wenye nyadhifa zao toka  awali hawapo  nyuma katika kufanya shughuli zao za kisanii kwa kutoa nyimbo mpya na kuwainua washabiki tena,Mwanadada lady jaydee  hivi karibuni ameachia kibao chake kipya  kwe station mbalimbali ikiwa inapata air time ya kutosha  pia hakuachilia mbali ametoa na video chini ya adam juma ndani ya kampuni ya visual lab akiwa amemshirikisha Mr blue  a.k.a  kabayser,

MISS TABATA 2011


Ni wale madada  zetu wa TABATA wakishindania kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa tabata hivi  karibuni  wakiwa kwenye pozi  mbalimbali hapo juu,

AFTER COLLEGE!!AFTER COLLEGE!!AFTER COLLEGE,

Ni vipi  wakubwa   wote  wa " bongo  students colleges"mnakaribishwa  nyote  kwenye booonge!!moja ya  party  litakalo jumuisha wajanja wote pande  za  tabata  kwa "MZUNGU"segerea  kwa kiingilio  cha Tsh.17,000,ikiwa  na  usafiri  bureeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!! karibuni  nyote



ticket  zinapatikana  University  of  dar-  es - salaam  computing center,(ucc)

FASHION & NEW STYLES













    Ndani  ya  bongo hakishindikani  kitu pale  unapo amua kutupia pale  kati  kiaina fulani,hebu  cheki  hapo jinsi unaweza  ng'aa kupitia  wana  fashion  tofauti  na maarufu  duniani

CHEKA NAO HAWA





  Ni wale  wazee  wakuvunja mbavu  wanao julikana  kama  Ze Comedy wakiwa  kwenye timu yao na matukio tofauti katika  shughuli  zao za kila siku  kama wanavyoonekana  hapo juu,

TEMBELEA ARDHI YAKO MTANZANIA,





   Tanzania ni nchi  yenye  fahari nyingi  na  vivutio vingi vinavyo wavutia  watu tofauti  kutoka sehemu mbalimbali  ndani  na  nje  ya  bara  letu la  Africa,ujio  wa  watalii  ni  fahari  kubwa  kwetu  je!wewe  mtanzania  mwenye  ardhi  yako  ulishawahi  kufikiria  kutembelea  ardhi  yako??tembea  ujionee.

SHAAA!!


Mwanadada  sarah  kaisi  au kwa jina  la usanii  unaweza muita"SHAA"aliye tokea  kwenye kundi la  wakilisha lililo tokea kwenye shindano la cocacola  popstars wakiwemo langa,witness,na  akiwemo  shaa  mwenyewe,Mwanadada  huyu ambaye ni miongoni  kati ya wanamziki wa kike walio kwenye  nafasi  ya juu  kutokana  na kazi zake,hivi  karibuni ameachia  kazi yake  ya  CRAZY video  chini  ya uongozi wa adam  juma(visual lab),Bonge  ya  kioo  raia.

Barnaba's

Msanii  wa  muziki  wa  bongoflava  mwenye upeo mkubwa na kuwafanya  mashabiki wa rika tofauti  kumkubali  kupita kiasi,
Barnaba  hivi  karibuni akiwa ametoka kuachia video  yake  ya  milele daima  ikiwa  chini  uongozi wa  adam  juma kwenye  kampuni ya  visual lab,

Tuesday, May 10, 2011

happy mothers day

Ni kwa furaha na neema kupwa kumtakia mama maisha mazuri na ya amani kwa alicho  tunukiwa na mungu kwa malezi yake mazuri na kukufanya ufike hapo ulipofika  kila aliye hapa  kwenye dunia hii inapaswa tumshukuru yeye aliye tunikiwa na mungu uwezo huu mkubwa,mimi  neno langu kubwa ni kuwa nakupenda mama

Thursday, May 5, 2011

rais barack obama wa marekani akijaribu wadhihirishia wana ulimwengu juu  ya kifo cha mhasimu wao mkubwa  osama bin laden hapo jumatatu

ni baada ya kushambuliwa na majeshi obama ,osama bin laden kufariki dunia

ni kama inavyoonekana hii ni maiti ya osama bin laden